FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2015 RESULTS
Tusiime watia fora ufaulu kidato cha pili ASILIMIA 99 ya wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime waliofanya mtihani wa kidato cha pili wamefaulu kwa daraja la juu yaani ufaulu uliojipambanua (Distinction). Akizungumzia matokeo hayo ofisini kwake, Mkuu wa shule hiyo, Emil Rugambwa alishukuru kwa matokeo hayo
Read More