PSLE 2016 Examination Results – TUSIIME YAONGOZA KIWILAYA DARASA LA SABA

TUSIIME YAONGOZA TENA SHULE ya Msingi Tusiime ya Dar es Salaam, imeendeleza umwamba kielimu kwa kushika nafasi ya tano kitaifa ikiwa na wanafunzi wengi kuliko shule zote zilizoingia kumi bora kitaifa katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu ambapo ilikuwa na wanafunzi 210.

Read More