Shule ya Tusiime Yangara Tena Darasa la Saba
MKOA wa Dar es Salaam umetangaza matokeo ya waliohitimu darasa la saba ya mwaka jana ambapo shule ya Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam imeongoza kwa Mkoa wa Dar es Salam. Shule hiyo ndiyo imekuwa ikiongoza matokeo ya mkoa na wilaya ya Ilala tangu mwaka
Read More